MOURINHO KUMSAINI RUMELO LUKAKU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 13, 2017

MOURINHO KUMSAINI RUMELO LUKAKU

Kocha wa manchester united jose mourinho amesema anataka kumsaini LUKAKU ili aje ajaze gape la ROONEY pia rooney ataondoka united.

Manchester na arsenal wanammendea defender wa atletico madrid  MARIA GIMENEZ,

Liverpool wanamsaka luan mwenye umri wa miaka 24 kwa kitita cha uero26, huyu luan wanamuita ronaldinho mpyaaa


Manchester city na man u wapo katika vita ya jeuri ya pesa kuinasa saini ya JAMES RODIRGUS toka real madrid.

man city wanamtupia jicho VICTOR VALDES kutoka middlesbrough

Chelsea na liverpool wanamtaka BEN GIBSON toka middlesbrogh

              Chanzo the sun,daily mirror,daily telegraph
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();