Mkuu wa kitengo cha antitrust cha umoja wa ulaya Margrethe Vestager ametangaza kua wamefikia muafaka wa kuipiga faini kampuni ya facebook, kutokana na kosa la utoaji wa taarifa zenye mkanganyiko kuhusu mark zuckerbeg mvumbuzi na mmiliki wa mtandao huo kuvunja sheria za baraza la ulaya katika mchongo wa kuinunua whatsapp mwaka 2014, amabapo mark wa facebook aliinunua kwa dola billion 19, na makubaliano yalifikiwa kuwa data za facebook zisiunganishwe na za whatsapp, lakini mwezi wa nane facebook ilitangaza kutumia data moja na whatsapp, hilo ni kosa kubwa la ukiukwaji wa sheria za data za kimataifa kwa kuwa, kufanya hivyo kutaifanya facebook kufaidika na deal za matangazo ya mtandaoni.