TEMBO AMLALIA MUWINDAJI, KWA KUMUANGUKIA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 22, 2017

TEMBO AMLALIA MUWINDAJI, KWA KUMUANGUKIA



muwindaji kwa jina la Botha mwenye umri wa miaka 51, amelaliwa na tembo wakati akiwa mawindoni baada ya kumpiga risasi kisha kuzishika pembe zake ili kumnyanyua, lakini bahati mbaya uzito wa tembo ukamuelemea na kusababisha umauti wake bwana huyo ameacha awatoto watano na umauti umemkuta akiwinda huko zimbabwe

.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();