VIJANA WA AJARI YA LUCKY VICENT WANAOTIBIWA U.S.A, HII NDIO MIONEKANO YAO KWA SASA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 30, 2017

VIJANA WA AJARI YA LUCKY VICENT WANAOTIBIWA U.S.A, HII NDIO MIONEKANO YAO KWA SASA

Kijana wilson ameanza kusimama na kutembe mweyewe kwa msaada wa fimbo ya kutembelea

                                                          WILSON
ujumbe uliotolewa na Mbunge wa Singida Kaskazini, Lazaro Nyalandu, unaeleza kuwa hali ya kijana sadia kwa sasa inaridhisha kwa kuwa ameanza kupata ahueni katika sehemu alizokuwa kaumia na zile alizovunjika.Sadia alikuwa amevunjika shingo, na kupitia maumivu makubwa ya wiki sita kabla ya shingo yake kuanza kuimarika kutokana na matibabu.
Sadia na Wilson wamepelekwa kwenye kituo maalumu kwa uangalizi wa karibu, mjini Sioux City, katika Jimbo la Iowa.
                                                                SADIA




 Kijana doreen yeye bado yupo katika wodi ya watoto ya mercy,huku hali yake ikizidi kuimarika
                                                                    DOREEN


'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();