WALIMU WATUMIA MABATI CHAKAVU KAMA UBAO WAKUFUNDISHIA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 23, 2017

WALIMU WATUMIA MABATI CHAKAVU KAMA UBAO WAKUFUNDISHIA

         
                                         www.mainfo93.blogspot.com
Kutokana na uhaba wa madarasa katika shule ya msingi IGONGO iliyopo musoma vijijini mkoa wa mara imewalazimu walimu kutafuta mbinu mbadara ya kuwafundishia wanafunzi, walimu hao wamekua wakitumia mabati chakavu kama ubao wa kufundishia, pia wanafunzi wa shule hiyo husomea chini ya miti kutokana na uhaba wa madarasa huku madarasa yaliyopo kuwa mabovu kiasi kwamba mvua ikinyesha yana vuja. www.mainfo93.blogspot.com
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();