Mark Zuckerberg, NDIYE MGUNDUZI WA MTANDAO MAARUFU WA FACEBOOK, kulingana na jarida la forbes, mtandao huo
unashika namba nne kwa brand zenye thamani na umaarufu mkubwa duniani. Mark Zuckerberg, aliacha masomo yake katika chuo bora zaidi duniani cha harvad na kuelekeza nguvu zake zote katika kitu alichoamini kuwa ni ndoto yake ya maisha. Akiongea na umati wa wasomi wa havard jana mark aliwashauri vijana kutokuwa waoga kujaribu ndoto zao, alisema `sometimes we have to kick out of the box` Jana mark ameitwa na wakuu wa chuo cha harvad na kupewa degree ya heshima kwa ujenious aliounyesha. FACEBOOK ILIVUMBULIWA NA MTAALAMU HUYO MWAKA 2004 ALIPOKUWA NDANI YA CHUMBA CHAKE CHA DORMITORY ZA CHUO.
kwa sasa Mark Zuckerberg, ni tajiri namba tano wa dunia kwa mujibu wa jarida la Bloomberg Billionaires Index akiwa na utajiri wa dollar $64.2 billion . huku list ikiongozwa ma bill gates, watu wengi waliopo kwenye list ni wale wanaojihusisha na masuala ya internet na technolojia.