Mwanamke mmoja huko singida ameushangaza umati wa watanzania
kwa kujifungua mtoto ilihali hajawahi kutana kimwili na mwanaume kwa kipindi cha miaka mitatu. Alipohojiwa alisema haya.
“…nilikaa muda mrefu bila kupata mtoto hadi kupelekea kutengana na mume wangu 2014. Tulivyotengana sikutaka tena kuolewa wala sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume yeyote.” – Zaria Hamza