JOHN BOCCO ATIA WINO SIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 25, 2017

JOHN BOCCO ATIA WINO SIMBA




JOhn boko toka azam inasemekana katia wino katika klabu matata ya simba baada ya mkataba wake wa azam kuisha. Taarifa za awali zinadai boko amesaini mkataba huo lakini bocco mwenyewe akipigiwa simu hapokei kwa upande wa msemaji wa azam amedai wapo katika mazungumzo na bocco baada ya mkataba wake kuisha
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();