WAZIRI ATAJA MIKOA INAYOONGOZA NA ISIYOONGOZA KWA UKIMWI 2017 - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 20, 2017

WAZIRI ATAJA MIKOA INAYOONGOZA NA ISIYOONGOZA KWA UKIMWI 2017



Waziri wa fedha na mipango DR.Mipango amemzawadia raisi ramani ya tanzania inayoonyesha kiwango cha maambukizi ya vvu Katika makabidhiano hayo, Dr Mpango ameeleza kuwa kwenye takwimu za utafiti uliofanywa na Ofisi ya Takwimu
ya Taifa (NBS) juu ya hali ya maambulizi ya VVU kwa watu wenye umri wa miaka 15-49 kimkoa kwa mwaka 2016-17.
Ameeleza kuwa kiwango cha maambukizi mapya bado kiko juu kwenye mikoa ya Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania ikiongozwa na Njombe 11.6%, Iringa 11.2% na Mbeya 9.2%.
Mikoa yenye maambukizi ya kiwango cha chini ni Unguja 0%, Kaskazini Pemba 0%, Lindi 0.3%, Manyara 1.8% na Arusha 1.9%.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();