MNAIJERIA RAMSEY AWACHANA BONGO MOVIE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

MNAIJERIA RAMSEY AWACHANA BONGO MOVIE


Muigizaji mashuhuli nchini naijeria ,ramsey noah amewatolea povu bongo movie kwa kushindwa kuindeleza sanaa ya bongo movie kama ilivyokuwa kwa nguli wa filamu bongo, hayati steven kanumba.
Ramsey alifunguka
hayo wakati wa kutembelea kaburi la kanumba.

“Ni ukweli ulio wazi kwamba filamu za hapa (Bongo) zimekosa msisimko, lakini wanayo nafasi ya kurekebisha, nimesimama hapa na maumivu makali, lakini yote ninamshukuru Mungu na wito wangu kwa wasanii wamsaidie mama huyu (mama Kanumba) kwani mwanaye alitoa ajira kwa wasanii, lakini leo wanamuona mama huyo kama si chochote, wameshindwa kumuenzi Steven kulingana na thamani yake, waangalie mahali walipokosea ili laana ya Steven isizidishe makali yake, lakini kubwa wamsaidie mama huyu,” alisema Ramsey akipeleka ujumbe huo kwa wasanii wa Bongo Movies.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();