YANGA YAMUACHIA RWANDAMINA ARUDI ZAMBIA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 14, 2017

YANGA YAMUACHIA RWANDAMINA ARUDI ZAMBIA



Baada ya kukaa kwa pamoja,uongozi wa timu ya
yanga umekubali kumuacha rwandamina ili arudi kwao zambia kwa ajiri ya kuhudhuria sherehe za mahafalinya mwanae.
Kesho asubuhi atapanda mwewe kwa ajiri ya kujongea zambia.


“Kocha wetu Lwandamina leo ameomba ruhusa ya kwenda mara moja kwa ajili ya kuhudhuria mahafali ya mwanaye yatakayofanyika wikiendi hii.


“Hivyo, ataukosa mchezo wa kirafiki tutakaoucheza keshokutwa Jumamosi na badala yake atakuwepo benchi msaidizi wake Nsajigwa (Shardack) na atarejea nchini Jumatatu ijayo asubuhi,” alisema Mkwasa
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();