POLISI WATANGAZA KUMSAKA PROFESA J NA BABA YAKE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 22, 2017

POLISI WATANGAZA KUMSAKA PROFESA J NA BABA YAKE

MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ

RPC Morogoro Urichi Matei amethibitisha kumtafuta Joseph Haule na baba yake mzee
Steven Haule kwa madai ya kukutwa kwa matrekta ambayo ni mali ya SUMA JKT yakiwa nyumbani kwa mzee Steven Haule.
Matrekta hayo yanaripotiwa kuwa walinyang’anywa madereva na kudaiwa yanarudishwa SUMA JKT ambao ndio
wamiliki kwani bado yandaiwa hayamaliziwa mkopo ila baadae yakakutwa nyumbani kwa mzee Steven Haule.
“Hizi trekta zimekutwa nyumbani kwa mzee Steven Haule ambaye ni baba yake na huyu mbunge Joseph Haule maarufu kama Prof Jay, zimefika pale kwa namna gani hatujui ila kwa sasa hivi nimemuelekeza OCD kumtafuta bwana Steven Haule na Joseph Haule ili watusaidie zile trekta kama ni mali yao au wamezipataje”>>> RPC Urichi Matei
MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();