MAVUNO YA KOROSHO YAWAVUTIA MAKAHABA, WAVAMIA NEWARA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 19, 2017

MAVUNO YA KOROSHO YAWAVUTIA MAKAHABA, WAVAMIA NEWARA


Katika hali isiyo ya kawaida, madada poa wamevamia newara mkoani mtwara kwa lengo la kwenda kuwachuna wanaume wa newara ambao kwa sasa wapo katika kipindi cha furaha mara baada ya korosho yao kuwa ipo sokoni.

Wanawake wa newara wamelaumu ujio wa madada poa hao ambao wanadai kuwa wamekuja kuvuruga ndoa zao.

 Akiongea kwa ushuhuda mwanamke mmoja alisema "Wanaume wengi wa hapa ni wageni na hayo mambo,kwahiyo wakiona mgeni wanampaparukia bila ya kujari ana nia gani".

Kiongozi wa serikali eneo hilo ametamka kuwa uongozi umeweka mikakati ya kuweka kikomo cha mda wa kutembea usiku, na mtu akionekana na dada poa achukuliwe hatua.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();