KWA SIMBA YA MO,PESA NJE NJE. "LIPULI WAPOKEA BARUA YA SIMBA KUMCHUKUA KWASI" - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

KWA SIMBA YA MO,PESA NJE NJE. "LIPULI WAPOKEA BARUA YA SIMBA KUMCHUKUA KWASI"

MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
Hatimaye timu ya lipuli wamelegeza uzi na tayari wamekubali kupokea barua ya simba inayoonyesha kwasi wanamhitaji.
Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe alisema wamepeleka barua kwa Lipuli FC baada ya kugundua bado ana mkataba na klabu hiyo pamoja na wakala wake pia.
Lakini leo, Lipuli FC kupitia taarifa katika klabu yao wamesema wamepokea barua na wanaikaribisha Simba mezani.
“Tayari tumepokea barua yao, wanamhitaji Kwasi na sisi hatuna shida, tunawakaribisha mezani.”

KWA HABARI ZOTE ZA MICHEZO, TAFADHARI SUBCRIBE MAINFO93
MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();