Ingia facebook like page yetu, @mainfo93. Tutakupostia kila info ya sport
Wakati dirisha dogo la usajiri likifungwa rasmi leo, simba
wameamua kuvuta huyu beki.
Beki Mgahana, Asante Kwasi amesema kuwa wakati dirisha dogo la usajili linafungwa leo, yeye anaona hana ujanja zaidi ya kutua Simba.
Rafiki wa karibu wa Kwasi ameiambia SALEHJEMBE kwamba yeye tayari amekubali kumalizana na Simba.
“Limebaki suala la mkataba na hajui kwa nini Lipuli wanamzuia lakini ana uhakika, amesema atacheza Simba,” alisema.
Beki huyo aliyetokea Mbao FC kutua Lipuli, amezua mjadala mkubwa kwa kuwa Lipuli FC wamekuwa wakipinga yeye kujiunga na Simba wakidai bado ni mchezaji wao.
Zilizotufikia hivi lunde ni kuwa.
Kamati ya usajili ya Simba imekutana tena kwa mara nyingine kutaka kupata uhakika kuhusiana na uhakiki wa beki Asante Kwasi.
Simba iko katika hatua za mwisho kumalizana na beki huyo lakini imekuwa ikitaka kupata uhakika kuhusiana na usajili wake Lipuli.
Kutokana na Lipuli FC kuwa inalalamika kuhusiana na mchezaji huyo, kamati hiyo imeamua kujiridhisha.
“Kamati imeamua kujiridhisha ili kupata uhakika maana Simba safari hii wanaonekana hawataki matatizo,” kilieleza chanzo.