YANGA WAO WAMEFUNGA DIRISHA DOGO KWA KUMSAINI NA HUYU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

YANGA WAO WAMEFUNGA DIRISHA DOGO KWA KUMSAINI NA HUYU


tafuta group liitwalo magazeti ya leo.kisha jiinge facebook

Dirisha dogo la usajiri ligi kuu bongo, lilifungwa usiku wa kuamkia leo,
mishale ya saa sita usiku.
Huku wanajangwani wao wakiwa wamevuta mishale miwili ambayo ni nkomola na kayembe
msemaji wa yanga
Alisema walikuwa na mpango wa kuwasajili washambuliaji wengine wawili kutoka Sierra Leone na Benin ambao waliwapelekea mwaliko kwa ajili ya majaribio ili wachukue nafasi za majeruhi, Donald Ngoma na Amissi Tambwe.
“Tunafunga usajili wa dirisha dogo na hawa wachezaji wawili ambao ni beki Kayembe na straika Nkomola, hatuongezi mchezaji mwingine.
“Tulitaka kusajili mastraika wawili lakini tumesitisha mpango huo kutokana na hali za majeruhi Ngoma na Tambwe kuwa nzuri, hivyo tumeachana na usajili mwingine,” alisema Mkwasa.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();