MOURINHO ASEMA ANAMLETA BALE MAN U KWA HASIRA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

MOURINHO ASEMA ANAMLETA BALE MAN U KWA HASIRA


LIKE FB PAGE @MAINFO93
Kocha mtata wa man united jose mourinho amefunguka kuwa katika
usajiri wa januari atahakikisha gareth bale anatua man u.
Hata hivyo awali ilionekana ni vigumu kwa bale kutua man,ila sasa madrid wanaonekana kumuachia kutokana na majeraha ya mara kwa mara.

Licha ya kuonekana kuwa na nia ya kumuuza, Madrid imeweka dau la pauni milioni 79 kwa Bale japokuwa awali Man United inadaiwa kuweka mkakati wa kutolipa zaidi ya pauni milioni 65 ili kumsajili Bale.
Tottenham Hotspur inaonekana kutaka kuizidi kete Man United, lakini mazungumzo ya mwanzoni mwa msimu huu kati ya Bale na Man United yanampa nafasi Mourinho ya kumnasa mchezaji huyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();