ZANZIBAR KUMKOSA HAJI MWNYI GEM YA FAINALI VS - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 14, 2017

ZANZIBAR KUMKOSA HAJI MWNYI GEM YA FAINALI VS



Zanzibar Heroes itamkosa Haji kutokana na kuwa kadi za njano zinazomlazimisha
kukaa jukwani na Kocha Mohammed Morocco amethibitisha.
Hata hivyo, Morocco amesema wamejipanga kufanya vema kwa kuwa wana kikosi kipana.
“Tuna kikosi kipana, kuna watu watakaomuwakilisha Haji pamoja na wengine walio majeruhi,” alisema.
Zanzibar Heroes ndiyo wawakilishi pekee wa Tanzania waliobaki katika michuano hiyo baada ya Tanzania Bara kuonekana “mdebwedo” kwa kung’olewa mapema kabisa.

 Wazenji watakipiga na uganda kugombania ubingwa
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();