MAGULI ATEMWA TIMU YA UARABUNI SASA KUKIPIGA KWENYE HII TIMU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 20, 2017

MAGULI ATEMWA TIMU YA UARABUNI SASA KUKIPIGA KWENYE HII TIMU



Foward tegemezi wa timu ya taifa bongo, Elias Maguli ameachana na timu yake ya uarabuni ambayo ni DHOFAR moja kati ya timu kubwa sana zinazolipa vizuri aliyokuwa akiitumikia, kuna tetesi kuwa huenda akatua bongo kukipiga, pia kuna uwezekano akatua sauzi kwa madiba kwa mujibu wa maguli anadai kuwa ameachana na dhofar ili kwenda kutafuta changamoto nyingine. Mainfo nainte three tunafatilia kwa karibu, info tukiinyaka utaipata mdau.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();