UTAFITI: WANAUME WENYE NDEVU HUPATA FAIDA KULIKO WASIONAZO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 22, 2017

UTAFITI: WANAUME WENYE NDEVU HUPATA FAIDA KULIKO WASIONAZO


MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
Shirika la Utangazaji la BBC lilishawahi kuandika katika chapisho la Maambukizi ya Hospitalini,  ulifanywa utafiti ambapo wanaume 408 wenye ndevu na wasio na ndevu walitumiwa kwa kufanya uchuguzi huo.

Wanaume wote walipitishiwa kifaa maalumu kwenye videvu vyao ili kuona kama kuna vimelea vyovyote vinavyopatikana kwenye videvu na madhumuni makuu ya kufanya hivyo ni kwamba wataalamu wanaeleza kwamba hospitalini ndipo sehemu ambapo kuna maambukizi mengi sana ya vimelea mbalimbali.
Matokeo ya utafiti huo yalionyesha kuwa wanaume ambao hawakuwa na ndevu walikuwa hatarini kwa mara tatu zaidi wanabeba na kutunza vimelea hivyo kwenye ngozi zao za kidevu tofauti na wanaume ambao walikuwa wana ndevu.
Utafiti huu ukisapotiwa na tafiti nyingine ulihitimisha kuwa kunyoa ndevu mara nyingi husababisha kuchubuka kwa ngozi na hivyo kutengeneza makazi ya bakteria na mazalia yao.
MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();