LEO SINGIDA UNITED IMESAJIRI HIKI CHUMA TOKA TIMU YA TAIFA GHANA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 22, 2017

LEO SINGIDA UNITED IMESAJIRI HIKI CHUMA TOKA TIMU YA TAIFA GHANA



MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
Club ya singida united leo imekamirisha usajiri wa Mchezaji Malik Antri kutoka Ghana.
Antri ameshawasili nchini tayari kwa kuitumikia Singida United ambayo
inapambana kulitwaa kombe la Ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2017/2018.
Antri ambaye ambaye ameitumikia timu ya Taifa ya Ghana kwenye Michuano ya CHAN anachukua nafasi ya Elisha Muroiwa aliyerejea kwao Zimbabwe kufuatia matatizo ya kifamilia yanayomsumbua.
Pichani ni Mchezaji Antri jezi namba 3 akiwa anaitumikia timu yake ya Taifa ya Ghana kwenye michuano ya CHAN.
MDAU WETU TUPE SUPPORT KWA KU CLICK KWENYE TANGAZO HAPO CHINI YA HII POST. SHUKA CHINI KIDOGO UTAONA KIBOX KINA TANGAZO AMAZON.COM CLICK HAPO, NI BUREEEE KABISAAA. UKICLICK TUNANUFAIKA NA WEWE TUNAKUPOSTIA INFO. MUCH LOVE GUYZ
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();