USAJIRI ULIMALIZIKA HIVI STAND UNITED VYUMA VITANO, RUVU SHOOTING VYUMA VITANO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

USAJIRI ULIMALIZIKA HIVI STAND UNITED VYUMA VITANO, RUVU SHOOTING VYUMA VITANO



Wakati dirisha dogo lilipofungwa rasmi,tayari ruvu shooting walikuwa wamesajiri wachezaji watano.
 Pia stand united chama la wana, walisajiri
mishale mitano. Stand kwa sasa wanapata mashavu toka kampuny ya vinywaji ya jambo ambayo wiki iliyopita iliwazawadia bus. pia stand wana mashavu ya tsh million mia toka BIKO.

Katika usajili wa
dirisha dogo, klabu ya Ruvu Shooting imesajili wachezaji watano vijana ili kukiongezea nguvu kikosi katika duru ya lala salama ya Ligi kuu ya Voda com Tanzania bara 2017/18.


Wachezaji waliosaini mkataba kutumika katika kikosi cha Ruvu Shooting ni kiungo namba nane Hamis Salehe Maulid na Adam Ibrahim Abdallah ambaye ni winga wa kulia.
Wengine ni washambuliaji Gidion Brown Benson na Alinanuswe Martin Mwaisemba na beki Rajab Zahir Mohamed.
Wachezaji hao tayari wako kambini wakiendelea na mazoezi isipokuwa Zahir ambaye ataripoti kambini muda wowote kuanzia sasa.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();