HAYA HAPA MAMILIONI ALIYOPEWA MO IBRAHIM SIMBA KWA MKATABA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

HAYA HAPA MAMILIONI ALIYOPEWA MO IBRAHIM SIMBA KWA MKATABA


karibu sana mainfo nainte three kupata info za kisport
Uongozi wa Klabu ya Simba umempatia kiasi cha
milioni 50 kiungo wake Mohamed Ibrahim ‘Mo’ kwa ajili ya kuongeza mkataba mpya wa kuitumikia klabu hiyo.
Mo amesaini mkataba wa miaka miwili ya kuitumikia Simba baada ya ule wa awali kufikia tamati ambapo Yanga walikuwa wakimfukuzia.
Taarifa ambazo mainfo93 imezinyaka info
kuwa ni kwamba kiungo huyo alikubali kuongeza mkataba baada ya kupewa kiasi hicho cha fedha.
Mo ni miongoni mwa wachezaji wenye kiwango katika Klabu ya Simba kutokana na uwezo wake wa kuisaidia timu hiyo katika mechi kadhaa.
“Mo amesajiliwa Simba kwa kiasi cha shilingi milioni 50 baada ya kukubaliana kwa pande zote mbili kutokana na uongozi kukubaliana na kiwango chake .
“Uongozi uliamua kumuongezea kiasi hicho cha fedha kwa lengo la kuzuia usajili mwingine kwa kuwa Yanga walikuwa wakimnyemelea,” alisema mtoa taarifa huyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();