MBUNGE ATOA POVU,ASEMA "CHADEMA WAACHE KIKI" - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

MBUNGE ATOA POVU,ASEMA "CHADEMA WAACHE KIKI"

Baada ya Mbunge wa viti maalum CHADEMA
Upendo Peneza aliyeituhumu serikali kuwanunua Wabunge wa upinzania na kusababishia taifa hasara , Leo Mbunge wa viti maalum Tabora kupitia CCM Munde Tambwe amezungumza na waandishi wa habari Dodoma na kukosoa kauli uhiyo huku akisema hata Lowassa alitoa rushwa. Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

    
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();