NIYONZIMA IS BACK, SASA MATIZI KAMA KWAWA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

NIYONZIMA IS BACK, SASA MATIZI KAMA KWAWA



Baada ya kutoka rwanda na kurejea tena bongo, niyonzima amekuwa akisumbuliwa na majeraha ya hapa na pale, na leo amerudi kikosini kwa ajiri ya kuanza na mazoezi madogo madogo.

Niyonzima alipewa ruhusa ya kurejea kwao Rwanda kutokana na matatizo ya kifamilia kabla ya kurejea nchini.
Hata hivyo, kwa takribani wiki moja alishindwa kufanya mazoezi kutokana na kuwa majeruhi.
Lakini leo, ameanza kujifua na Simba iliyokuwa inafanya mazoezi kwenye Uwanja wa wa Boko Veterans jijini Dar es Salaam.
Kiungo huyo Mnyarwanda alikuwa akifanya mazoezi pembeni, akizunguka taratibu ikionekana ni maelekezo ya daktari kuanza mazoezi taratibu.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();