MZEE AKILIMALI ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

MZEE AKILIMALI ATANGAZA KUGOMBEA UBUNGE



Mzee akilimali amesema anagombea ubunge wa kinondoni kupitia CCM


"Hili ni jambo ambalo nimelifikiria, lakini si jambo ambalo tayari nimetangaza au kuchukua uamuzi wa kulifanya,” alisema.
“Ikifikia kama nimefikia uamuzi, basi nitatangaza rasmi lakini kwa sasa bado.”
Akilimali amekuwa kati ya sehemu ya viongozi wa wazee wa Yanga ingawa wamekuwa hawatambuliki kikatiba ya klabu hiyo.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();