PICHAZ:HAWA HAPA SIMBA WAKIPIGA MTIZI KUIVAA GREEN WORRIORS - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 21, 2017

PICHAZ:HAWA HAPA SIMBA WAKIPIGA MTIZI KUIVAA GREEN WORRIORS


Wachezaji wa Simba wakiwa kwenye mazoezi ya pamoja

Haruna Niyonzima akipasha

Wachezaji wa Simba wakipata maelekezo kutoka kwa kocha wao mkuu, Joseph Omog.
KLABU ya Simba mapema leo imefanya mazoezi yake ya mwisho kabla ya kesho jioni kuwavaa wapinzani wao, Green Warriors kwenye Uwanja wa Azam Complex Chamazi jijini Dar es Salaam, katika mchezo wao wa kujiwinda na Kombe la Shirikisho maarufu kama FA.
Simba ambayo imeweka kambi yake ndani ya Sea Scape Two iliyopo Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, imehitimisha mazoezi yake hayo na kwamba kesho itashuka katika dimba hilo kusaka nafasi ya kutetea ubingwa wa kombe hilo ambalo walilitwaa msimu uliyopita kwenye mchezo wa fainali yao ulikutanisha dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma.


Tumemaliza mazoezi salama hivyo hatuna budi kumshukuru Mungu kwa kutujalia uzima, zaidi sasa tunaelekea kambini kwa ajili ya kupumzika ili kesho tuweze kushindana ili tupate ushindi kwenye mchezo huo muhimu, najua nakutana na timu mabayo siifahamu sana hivyo natumaini mchezo utakua mgumu sana kwetu,” alisema Omog.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();