"NIMEUMIA KULIKO SIKU ZOTE TOKA NIANZE KAZI SIMBA"-BY HAJI MANARA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 23, 2017

"NIMEUMIA KULIKO SIKU ZOTE TOKA NIANZE KAZI SIMBA"-BY HAJI MANARA


club ya wekundu wa Msimbazi Simba leo Ijumaa ya December 22 2017 ilikuwa katika uwanja wa Azam Complex Mbande Chamazi kucheza mchezo wake wa round ya pili wa Kombe la Azam Sports Federation Cup  dhidi ya Green Warriors.
Simba ambao ndio mabingwa watetezi wa Kombe hilo, wamekutana na bahati mbaya baada ya kuvuliwa Ubingwa wa michuano hiyo kwa kufungwa kwa mikwaju ya penati 3-4, hiyo ni baada ya dakika 90 kumalizika game 1-1, goli la Simba likifungwa na John Bocco kwa penati dakika ya 54.



'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();