SIMBA WAMALIZA UTATA WA KWASI NA LIPULI KIDIZAINI HII - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 16, 2017

SIMBA WAMALIZA UTATA WA KWASI NA LIPULI KIDIZAINI HII

jiunge na facebook group liitwalo #MAGAZETI YA LEO

kutokana na tetesi za kuwa kwasi ana mkataba na lipuli fc.
Simba imeamua kumaliza utata wa usajili usiku wa manane
baada ya kuwasajili Dayo Domingues na Sante Kwasi katika nafasi zao za wachezaji wa kimataifa.
Awali kulikuwa na utata mkubwa kwa mchezaji Kwasi, kwani pamoja na Simba kuwa naye jijini Dar es Salaam kwa siku mbili, ilielezwa bado ana mkataba wa miezi saba na Lipuli FC.
Hali hiyo iliwapa hofu Simba ingawa wakala wa mchezaji huyo aliendelea kuhakikisha kwamba si kweli.
Simba ilikuwa na uhakika na Domingues aliyetokea Msumbiji lakini ikashindwa kumalizana na Kwasi hadi usiku wa manani ilipoamua kumaliza kasi.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();