STRAIKA MPYA YANGA AKABIDHIWA RASMI NAMBA YA JEZI - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 15, 2017

STRAIKA MPYA YANGA AKABIDHIWA RASMI NAMBA YA JEZI


Straika ambaye amejiunga na kikosi cha yanga,
Yohana nkomola tayari kisha jiinga na kikosi hicho na mazoezi yanaendelea akiwa na wenzake. Amekabidhiwa jezi nambari 31.
Mchezaji huyo alitua yanga akitokea kwenye michuano ya chalenji nchini kenya alipokuwa akiitumikia kilimanjaro stars.

“Sina tatizo na namba 31 lakini hata wakinipa jezi nyingine nitavaa, sichagui kwa sababu jezi haichezi, lakini pia nimepewa jezi hii baada ya nyingine zote kuwa na watu,” alisema Nkomola.
Kwa mara ya kwanza mshambuliaji huyo ataonekana kwenye kikosi cha Yanga, kesho ambapo timu hiyo itakuwa ikivaana na Polisi Tanzania kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();