VIDEO YA MCHEZAJI MPYA SIMBA YAZUA GUMZO,WADAU WAJIULIZA NI WINGA AU MSHAMBULIAJI? - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 17, 2017

VIDEO YA MCHEZAJI MPYA SIMBA YAZUA GUMZO,WADAU WAJIULIZA NI WINGA AU MSHAMBULIAJI?


Wadau wa soka bongo +255 wajikuta wakibaki na mshangao
na maswali mengi juu ya ukweli wa mchezaji mpya waliomsajiri simba, mara baada ya video kusambaa mtandaoni ikionyesha mechi alizocheza. Wengi wahoji ubora wake, wamejiuliza ni winga au mshambuliaji?.

Baada ya video hiyo, mjadala mkubwa umezuka mitandaoni kwamba kama kweli ni mshambuliaji mkali kama ambavyo imekuwa ikielezwa au ni.magumashi?.
Mbali na hivyo, wako wamekuwa wakihoji kama ni mshambuliaji au winga kwa kuwa katika video hiyo anaonekana anatokea pembeni kulia.
Lakini wako ambao wamekuwa wakimsifia kutokana na kuonekana ni mwenye kasi.
Simba imemsajili Domingues katika dirisha dogo la usajili ili kuongeza nguvu.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();