YANGA KIMENUKA:MZEE AKILIMALI KATEMA CHECHE, ASEMA ATATINGA HADI IKULU KWA JPM - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 18, 2017

YANGA KIMENUKA:MZEE AKILIMALI KATEMA CHECHE, ASEMA ATATINGA HADI IKULU KWA JPM



Lile sakata la mzee akilimali lililozuka leo mchana, tayari mzee mwenyewe kaja juu kwa jazba katishia kufika hadi kwa raisi, hababaishwi na wanao mbeza



Leo mchana, baadhi ya wanachama wa Yanga walitaka Akilimali kuondolewa uanachama kwa kuwa amekuwa akizuia mabadiliko ya klabu hiyo.
"Nimezuia mabadiliko yapi, mimi ni kati ya wale tuliotaka mabadiliko hata wengine hawajawa wanachama.
"Tatizo hawa wenzetu wanataka mambo ya haraka na ili mradi kuwaridhisha watu. Lazima tufuate utaratibu na hii ni lazima.
"Kama wanataka kuigawa klabu wanajidanganya na mimi na wazee wenzangu kamwe hatuwezi kukubali," alisema.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();