YANGA YAWAWEKEA UANGALIZI MKALI TSHISHIMBI NA KAMUSOKO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 17, 2017

YANGA YAWAWEKEA UANGALIZI MKALI TSHISHIMBI NA KAMUSOKO


Club ya yanga imeamua kuwawekea ulinzi na uangalizi mkali wachezaji wao tegemezi tshishimbi pamoja na kamusoko ili kuhakikisha kuwa
wanarejea kwa haraka katika kikosi kwa ajiri ya kuimarisha mashambulizi.
Wachezaji hao wamekuwa wakipata matibabu kwa muda hadi sasa.

taarifa zinaeleza, Kocha George Lwandamina amesisitiza kutaka kuona wanarejea.
"Kocha ametaka usimamizi wa karibu kwao kuhakikisha wanarejea," kilieleza chanzo.
"Ameisisitiza kila kitu kiende sahihi, wao wafuate wanachotakiwa kufanya ikiwemo mazoezi mapemesi na kadhalika."
Yanga inapowatumia viungo hao, Lwandamina amekuwa na uhakika katika eneo la kiungo. Lakini alikuwa akilazimika kuwatumia vijana kama Pius Buswita, Raphael Daud baada ya wakongwe hao kuwa majeruhi.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();