MOURINHO ATOKA NJE KWA HASIRA KWENYE MAHOJIANO - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 13, 2017

MOURINHO ATOKA NJE KWA HASIRA KWENYE MAHOJIANO


Kocha wa man u, jose mourinho amefanya tukio la kutoka nje ya press conference
alipokuwa akifanyiwa mahojiano. Kitendo hicho kilijiri mara baada ya kuulizwa swali ambalo lilimkera, aliulizwa ni kwanini ameshindwa kwenye manchester derby, akaonekana kumaind na kutoka nje.
Baadae alipoulizwa kwanini alitoka akajibu hivi.

"For me it was just a question of diversity - diversity in behaviours and diversity in education. Just that and nothing more than that," Mourinho said.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();