MOURINHO APASURIWA CHUPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 12, 2017

MOURINHO APASURIWA CHUPA




Imebainika wachezaji wa Manchester United
na wale wa Manchester City walizichapa ile mbaya baada ya mechi yao Jumapili.
Katika mechi hiyo, licha ya kutangulia kufunga, Man United walilala kwa mabao 2-1.
Baada ya mechi, wakati wakirejea vyumbani, wachezaji hao walitwangana na inaelezwa kocha msaidizi wa Man City, Mike Arteta alipasuliwa katika paji la uso.
Kocha wa Man United, Jose Mourinho alivamia katika chumba cha Man City baada ya kupigwa chupa akimtuhumu mmoja wa wachezaji wa City.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();