HATIMA YA MO IBRAHIM SIMBA HII HAPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 12, 2017

HATIMA YA MO IBRAHIM SIMBA HII HAPA


Kumekuwa na tetesi kuwa
huenda mo ibrahim asionekane ndani ya simba mara baada ya mkataba wake kuisha lakini mambo si haba, tayari kamwaga wino kuwatumikia wanyama hao waporini.

“Ilikuwa ni leo mchana, sijajua imekuwaje lakini kila kitu kimemalizika na makubaliano ya kila kitu yameenda vizuri.
“Suala la kusaini mkataba ndiyo lilibaki na sasa hakuna hofu tena,” kilieleza chanzo.
Kumekuwa na taarifa kwamba, Mo Ibrahim anaweza kuondoka Simba, ikiwa ni baada ya mkataba wake kwisha.
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();