HUU HAPA MUAFAKA WA JUUKO MURSHID SIMBA FC - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 12, 2017

HUU HAPA MUAFAKA WA JUUKO MURSHID SIMBA FC


Wakati mkataba wa beki wa simba juuko murshid ukiwa
unaelekea ukingoni,viongozi wa simba waliamua kumaliza utata kimyakimya kwa kumpa mkataba mwingine wa miaka miwili kulitumikia chama hilo matata ndani ya bongo +255.
Hata hivyo kutokana na ukimya huo,yanga wakawa wanamtolea mimacho juuko wakijua kuwa mkataba wake na simba unaelekea ukingoni hivyo watamhitaji,lakini wanakuja kustuka dakika za mwisho kuwa juuko bado ni mnyama mkali wa porini.

       *Thanks guyz kwa info za kisport tembelea mainfo93.com via google*
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();