WOLPER AZUA AIBU, AACHIA NYETI ZAKE LIVE - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 11, 2017

WOLPER AZUA AIBU, AACHIA NYETI ZAKE LIVE


Katika hali ya mshangao,staa wa uigizaji bongo tz wolper amejikuta akitia aibu ya mwaka mara baada ya
gauni lake alilokuwa amevaa kushindwa kustiri sehemu zake maalum na kujikuta akiwapa fursa midume waliokuwa wamekodoa macho kuangalia maumbile yake.
Tukio hilo limetokea alipokuwa akisherekea birthday yake. Ambapo mastaa kama amber lulu,barnaba,gigy na wengine wengi walijoin.

“Nilizaliwa Desemba 6, nilisherehekea na watoto yatima.
“Lakini leo (usiku wa kuamkia Ijumaa iliyopita), nimeamua kusherehekea pamoja nanyi mashabiki wangu. “Naombeni muendelee kuniunga mkono pia kwenye App yangu ambayo nimeizindua leo.”
Hata hivyo, mbali na shamra
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();