SIMBA WAAMUA KUVUTA HIKI CHUMA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

December 11, 2017

SIMBA WAAMUA KUVUTA HIKI CHUMA


Club inayosumbua vichwa vya wanajangwani, simba, imeamua kufanya maamuzi magumu katika usajiri wa
dirisha dogo huku ikiwa zimebaki siku nne tu ili dirisha dogo la usajiriblifungwe.
Simba wameonyesha kummezea mate kassim khamis mchezaji wa prisons ambae aliiua kill stars kwenye michuank ya huko hivi karibuni.
 Kassim khamis alifunga mabao mawiki kati ya mechi tatu alizoitumikia zanzibar heroes.


“Wachezaji wengi ni wazuri lakini huwezi kuwasajili wote lazima uchague kulingana na mahitaji ya kikosi chako. Kwa upande wangu naweza kusema yule straika wa Zanzibar ambaye aliwafunga Rwanda na Tanzania Bara (Kassim Khamis Selemani) ndiye anayetufaa,” alisema Djuma.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();