Leo ni man u vs arseal saa 2:30 usiku
Alipoulizwa namna alivyo-jipanga endapo Mourinho atacheza kwa kujilinda,
Wenger alisema: “Hap-ana, sifikirii kama watacheza kwa kupaki basi, wana timu bora, hawana haja ya kujilinda sana.
“Man United ni timu imara katika mchezo dhidi yetu nadhani watasha-mbulia sana na hawa-tajilinda muda mwingi. Utakuwa mchezo mzuri kati yetu.”
Hata hivyo, We-nger ambaye atapa-mbana na Man United bila straika wake, Alex-andre Lacazette, alisema hategemei Mesut Ozil kucheza chini ya kiwango eti kutokana na tetesi za kutakiwa na Man United.
“Lacazette anaumwa nyonga, hatocheza tunaweza kumtumia Olivier Giroud pia Sanchez (Alexis) anayeumwa misuli naye anaweza kuwa fiti, sitegemei Ozil kucheza chini ya kiwango sababu ya mambo yake ya usajili,” alisema Wenger.