Upangwaji wa makundi wa michuano ya Kombe la Dunia ambayo itafanyika mwakani
nchini Urusi umefanyika leo nchini humo.
Michuano hiyo ambayo ni mikubwa katika ngazi ya soka kuliko yote duniani inatarajiwa kuanza Juni 14 na kumalizika Julai 15, ambapo nchi 32 zitashiriki kutoka mabara matano.
Kutakuwa na viwanja 12 na miji 11 ambayo itatumika katika michuano hiyo.
Staa wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ambaye anaichezea Ureno amepangwa kundi moja kuvaana na Hispania ambapo kuna marafiki zake wengi wa Real Madrid.
Makundi yalivyopangwa haya hapa.
FIFA WORLD CUP 2018 Draw
Group A: Urusi, Saudi Arabia, Misri, Uruguay
Group B: Ureno, Hispania, Morocco, Iran
Group C: France, Australia, Peru, Denmark
Group D: Argentina, Iceland, Croatia, Nigeria
Group E: Brazil, Switzerland, Costa Rica, Serbia
Group F: Ujerumani, Mexico, Sweden, Korea Kusini
Group G: Ubelgiji, Panama, Tunisia, England
Group H: Poland, Senegal, Colombia, Japan