WAZEEE VIGOGO WA JUVENTUS WANAWAMEZEA MATE VIJANA WANAOMEREMETA WA REAL MADRID - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 11, 2017

WAZEEE VIGOGO WA JUVENTUS WANAWAMEZEA MATE VIJANA WANAOMEREMETA WA REAL MADRID



Baada ya striker karim benzema kupita kwenye chaki za lango la atletico madrid na kutoa cross matata ambayo ilimkuta isco nae akaitumbukiza bila huruma

ndani ya lango la atletico. japokua magoli ya S NIGUEZ Dakika ya {12} pia goli la A griezmann dakika ya (16) yaliipatia homa real lakini dakika ya 42 isco akaipatia real goli na kumfanya ronaldo atabasamu na kucheka sana.




         Sasa kazi ipo wazee vigogo wa juventus wamesema wanawamezea mate kina ronaldo

                                              angalia hapa

        
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();