MAN U KUIKABILI LYON FAINALI EUROPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

May 12, 2017

MAN U KUIKABILI LYON FAINALI EUROPA

Baada ya ushindi wa draw ya 1-1 kati ya man u na celta vigo, man imeweza kufuzu kucheza fainali ya europa league kwa aggregate ya 2-1 kwa kua ilishinda katika mchezo wa awali kwa 1-0. Goli la fellaini aliyepokea cross murua toka kwa  marcus rashford mnamo dakika ya 17, ulifufua matumaini ya jose mourinho kutinga fainali dhidi ya LYON ambayo jana iliishinda Ajax kwa 3-1. Goli la celta vigo lilitiwa nyavuni na Roncaglio dakika ya 85. kuangalia magoli ya man nimekuwekea link hapo chiniCLICK HAPA KUONA MAGOLI YOTE

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();