ZA HIVI PUNDE: DAVID KAFULILA AITEMA CHADEMA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

ZA HIVI PUNDE: DAVID KAFULILA AITEMA CHADEMA


Karibu sana mainfo nainte three tutafute google @mainfo93
Mainfo93 imeinyaka taarifa ya david kafulila kujiondoa chadema.
Habari zilizotufikia muda huu zinamuhusu David Kafulila , Mwanasiasa maarufu wa
Tanzania ambae pia ni Mbunge wa zamani wa Kigoma Kusini.
Kafulila amejiondoa CHADEMA na baada ya maamuzi hayo ameeleza sababu kwamba kwa sasa vyama vya upinzani vinaonekana kupigwa ganzi na kupooza katika juhudi zake za kupambana na ufisadi na ghafla ufisadi sio agenda kuu tena ya vyama vya upinzani tena.
“Kwa kuwa sina imani tena na upinzani kama jukwaa salama la kupambana na ufisadi, nimeamua kwa hiari na utashi wangu kujivua uanachama wa CHADEMA kuanzia tarehe ya taarifa hii, nitatangaza kwa siku za hivi karibuni jukwaa jipya la harakati zangu dhidi ya ufisadi”
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();