MAGULI AWADATISHA SIMBA NA YANGA WAANZA KUPANDA DAU - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

MAGULI AWADATISHA SIMBA NA YANGA WAANZA KUPANDA DAU

Hope wadau mko powaaa. Karibuni sana mainfo nainte threee.

Vilabu viwili hasimu ndani ya bongo +255,simba na

yanga,wameingia katika vita kubwa ya kunasa saini ya mchezaji maguli ambaye hadi
hivi sasa mkataba wake kule oman umekwisha na nimchezaji huru.
Hata hivyo yanga wanammezea mate ili kuimarisha kikosi chao lakini pia mnyama anamtolea udenda mithiri ya swala anaemeremeta ili kuongeza kasi ya kikosi kwa muda huu wa dirisha dogo.
Hata hivyo maguli pia anamendewa na timu flani huko morocco.

Lakini kuna taarifa Simba wanasubiri ripoti ya mwalimu wao Joseph Omog ili waanze usajili katika dirisha dogo.
Hata hivyo, mmoja wa wajumbe wa kamati ya usajili ya Simba amesema, wanaamini mwalimu wao atataka mshambuliaji.
"Akitaka mshambuliaji, Maguri tunaona anaweza kuwa msaada. Hivyo tunaweza kufanya naye mazungumzo hivi karibuni ili kuona inakuwaje," alisema.




'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();