MWANAMKE MATATANI KWA KUPOST PICHA MATATA AKIWA NA ODINGA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 22, 2017

MWANAMKE MATATANI KWA KUPOST PICHA MATATA AKIWA NA ODINGA

Karibu sana mainfo nainte three upate mastory ya town kila siku. Ingia google tafuta mainfo93


Mwanamke mmoja ambaye ni mdumu wa hoteli moja kisiwani
zanzibar iitwayo park hyatt hotel amejikuta akiandamwa na mkono wa sheria kwa kosa la kupost picha huku akiwa na kiongozi wa nasa mheshimiwa raila odinga.
Mwanamke huyo kwa jina la Sasha Seraphine Mbote
Alipost facebook picha hizo kisha akaandika caption ya.
"Nilikuwa na baba tukiinjoi mambo ya zimbabwe".



Awali odinga aliwasili zanzibar kwa mapumziko mara baada ya kutoka marekani. 

  Karibu hapa mainfo93.com upate habari,kudownload miziki,magame,seasons. Tafuta goole kwa kuandika mainfo93. By amani zabranco the chief editor @mainfo93
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();