TFF YAITA WAANDISHISHI WA HABARI:KISA HIKI HAPA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 16, 2017

TFF YAITA WAANDISHISHI WA HABARI:KISA HIKI HAPA

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeamua kuwaita waandishi wa habari na
kutoa ufafanuzi kuhusiana na tuhuma katika mkutano utakaofanyika leo.
Tuhuma wanazotaka kuzitolea ufafanuzi ni kuhusiana na kuelezwa kwamba kuna ufujaji wa fedha.
Tuhuma hizo zilikuwa zikisambazwa mtandaoni na mtu ambaye alipiga mahesabu ambayo sehemu kadhaa ualuonekana kuwa yamekosewa.
Hata hivyo, TFF inaonekana imeshindwa kuvumilia na Kaimu Katibu Mkuu, Wilfred Kidau ametangaza atazunguza na waandishi wa habari leo.
Lengo la Kidau kukutana na waandishi ni kutaka kutoa ufafanuzi ya madai hayo ambayo tayari wameyaita ni upotoshaji.

'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();