ROSE NDAUKA AWATOLEA POVU WATOA MIMBA - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 21, 2017

ROSE NDAUKA AWATOLEA POVU WATOA MIMBA


MSANII wa Filamu Bongo, Rose Ndauka amewarushia dongo wasichana wa kizazi kipya ambao wengi wao
wakipata mimba wanakimbilia kutoa badala ya kujifungua.
Ndauka ameiambia Full Shangwe, kuwa wanawake wengi wakipata ujauzito hutoa bila kujua kuwa mtoto ni faraja ya mwanamke na uhusiano kwa ujumla. “Nawashangaa wasichana wengi ambao wakipata mimba wanakimbilia kutoa.
I wish kama wangejua furaha, faraja na thamani ya mwanamke ni mtoto, wasingefanya hivyo,” alisema. Aliongeza: “Huwezi amini furaha ya kuwa na mtoto kwa mzazi ni zaidi ya changamoto.”
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();