CANTONA AMTOLEA POVU NEYMAR - MAINFO93

Latest

Kuwa updated kwa kutembelea mainfo93, hapa utakutana na mastory toka kila kona ya ulimwengu wa dot com. Contact habarimtandaoni@gmail.com

Random posts

November 16, 2017

CANTONA AMTOLEA POVU NEYMAR

Kiungo nyota wa zamani wa Manchester United, Eric Cantona ameonyesha kushangazwa na uamuzi wa Neymar kuhama Barcelona na kwenda
kucheza soka nchini Ufaransa ambako amejiunga na PSG.
Neymar sasa ndiye mchezaji ghali zaidi duniani baada ya kusajiliwa kwa pauni milioni 198.
Cantona amesema anashangazwa na hilo kwa kuwa Neymar ndiyo ana umri wa miaka 25, vipi ahame Barcelona na kwenda Ufaransa ambako atashindana dhidi ya timu nyingi dhaifu.
“Kama ni ligi ya Mabingwa, huzo ni mechi chache tu. Zinaweza kuwa tisa, halafu basi. Baada ya hapo unashindana na timu gani unapokuwa katika ligi ambako ni mechi nyingi,” alisema Cantona na kuongeza.
“Kweli sielewi kabisa, vipi ameamua kuja kucheza huku Ufaransa.”
'; (function() { var dsq = document.createElement('script'); dsq.type = 'text/javascript'; dsq.async = true; dsq.src = '//' + disqus_shortname + '.disqus.com/embed.js'; (document.getElementsByTagName('head')[0] || document.getElementsByTagName('body')[0]).appendChild(dsq); })();