Ishara zinaripotiwa kuonekana ambazo zinatajwa kutoka kwa nyambizi ya
Argentina ambayo ilitoweka ikiwa na wanajeshi 44 ndani yake.
Wizara ya ulinzi sasa inajaribu kubaini hasa ni wapi ilipo nyambizi hiyo.
Argentina imekuwa ikiitafuta nyambizi hiyo kusini mwa bahari ya Atlantic huku ndege ya utafiti ya shirika la Nasa nayo ikijiunga na shughuli hiyo.
Nyambizi hiyo inayotumia mafuta ya diesel ilitoweka umbali wa kilomita 430 kutoka pwani.
Uingereza na nchi za eneo hilo zimejitolea kusaidia baada ya nyambizi hiyo kutoweka umbali wa kilomita 430 kutoka pwani.
"Hatujafanikiwa kuipata, wala hatuna mawasiliano na nyambizi hiyo, msemaji wa jeshi la wanaji, Enrique Balbi aliwaambia waandishi wa habari.